YOUR FUTURE IS CREATED BY WHAT YOU DO TODAY, NEVER TOMORROW
Manyilizu ni Kundi linalofanya Muziki wa Hip Hop, Maskani yake The Rock
City Mwanza. Recording ya ngoma hii ilifanyika jijini Mwanza na Baadhi
ya ngoma zao Nyingi recording zimefanyika Mwanza kwa sasa zinaandaliwa
Dar es Salaam studio za Bokazi E.n.T chini ya Producer Man DvD... Ni
ujio wa Album ambapo soon ikikamilika Tutawajuza ndugu wadau na
Mashabiki wa Hiki Tunashokifanya
MAONI | USHAURI | MENGINEYO
kandamseto@hotmail.com
Post a Comment